Saturday, April 7, 2012

Waombolezaji waliofika Nyumbani alikokuwa akiishi Marehemu Steven Kanumba

Picha ya Marehemu Steven Kanumba
 Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
 Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,Mh. Samuel Sitta akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Ridhiwan Kikwete pia akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.
Mbunge wa Jimbo la Kinondoni,Mh. Iddi Azzan akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya Kifo cha Mcheza Filamu Maarufu Nchini,Marehemu Steven Kanumba nyumbani kwake Sinza Vatican,Jijini Dar es Salaam leo.Marehemu Kanumba amefikwa na Mauti usiku wa kumkia leo nyumbani kwake.

3 comments:

Anonymous said...

siyo lazima uwe kiongozi mkuu ndiyo uwe muhimu kwa jamii, ona jinsi watu wengi tunavyoomboleza kifo cha mtu wa watu, tutende mema ili jamii ijue umhimu wetu, siyo kutafuta madaraka tu,rest in peace kanumba(the great) !

Anonymous said...

THE GREAT HERO NEVER END WE WILL ALWAYS BE WITH U.

Anonymous said...

RIP Kanumba tutakumbuka daima. Loh! kama ua yaani siamini.