Monday, April 2, 2012

SHEREHE ZA MIAKA 2 ZA LIBENEKE LA VIJIMAMBO YATIA FORA MAREKANI

 Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwananidi Maajar akilakiwa na Mpwa mara tu alipofika kwenye sherehe za miaka 2 ya Blog ya Vijimambo zilizofanyika Jumamosi March 31, 2012 katika ukumbi wa Mirage uliopo Hyattsville, Maryland.
 Mpwa akiwa na Mhe. Balozi (kati) na Afisa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani, Dr. Mkama (kulia) 
 Mhe. Balozi akilakiwa na Missy Temeke (kulia) pamoja na mama wa mitindo, Asya Idarous Khamsin  ( wapili toka kulia) alipokua akiingia ukumbini.
 Mhe. Balozi akikagua Banda la Mjasilamali Asya Iarous Khamsin
 Mhe. Balozi akikagua banda  la Pacifica marine
 Banda la Restart
 Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la Seruwage
 Mhe. Balozi akiendelea kukagua Mabanda ya Wadhamini wa  sherehe za miaka 2 za Blog ya Vijimambo
 Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la Iska Jojo 
 Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la ESM Travel
 Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la WAMATA
 Mhe. Balozi akiwa kwenye Banda la DMK Global
 Mhe. Balozi akipaokea CD kutoota kwa mwanamziki wa kizazi kipya, Linah

No comments: