Wajumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Eliud Mvela (kushoto), Shaibu Nampunde na Halifa Mgonja wakiwa katika mkutano wa 6, jijini Dar es Salaam leo, wakati wa ufunguzi. (Picha zote na Kassim Mbarouk)
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga, akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa shirikisho hilo, kwenye ukumbi wa Water Front, Dar es Salaam leo.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodger Tenga, akizungumza kwenye mkutano huo.
Mwakilishi wa Kmpuni ya Simu ya Vodacom, ambao ni wadhamini wa Ligi Kuu ya TFF, Afisa Udhamini na Matukio, Ibrahim Kaude (kushoto), akiwa na Mwakilishi wa Kampuni ya Said Salim Bakhres, wamiliki wa timu ya Azam FC, Shani Christoms, kwenye mkutano huo.
Wajumbe wa TFF kutoka Vilabu vya soka, Mohammed Bhinda (Yanga), Geofrey Nyange 'Kaburu' (Simba) na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu, Mkoa wa Tabora, Ismail Aden Rage, wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa TFF, Dar es Salaam leo.
Jamal Malinzi (kushoto), Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu, Mkoa wa Kagera, akiwa na mjumbe wake, Peregrinus Rutayuga kwenye mkutano huo.
Mgeni Rasmi katika ufunguzi wa mkutano wa 6 wa TFF, Julian Matagi Yasoda, Mkurugenzi wa Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, akiufungua mkutano huo.
Mgeni Rasmi, Julian Matagi Yasoda, akizungua wakati akiufungua mkutano huo, ukumbi wa Water Front, jijini Dar es Salaam leo.
Makamu wa Pili wa TFF, Athuman Nyamlani, akipeana mkono na Rais wa Heshima wa TFF, Said El Maamry baada ya kutunukiwa cheo hicho cha heshima na mkutano huo.
Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu Tanzania (FAT), Alhaj Muhidin Ndolanga, akizungumza kwenye mkutano huo baada ya kutunukiwa cheo cha heshima cha Urais wa Maisha wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kwenye mkutano huo.
Alhaj Muhidin Ndolanga, akizungumza katika kuwashukuru wajumbe wa mkutano huo kwa kupata heshima hiyo.
No comments:
Post a Comment