Monday, April 9, 2012

MAPOGOLO MABINGWA KOMBE LA MBUNGE FILIKUNJOMBE KATA YA MILO


Mbunge wa jimbo la Ludewa mkoani Njombe Deo Filikunjombe akimkabidhi kombe kepteni wa timu ya Mapogolo Mathayo Ndendia baada ya timu hiyo kufanikiwa kuichapa Milo kwa jumla ya goli 2-1 katika mchezo wa fainali ya kombe la Filikunjombe
Pamoja na mvua kubwa kunyesha bado mashabiki waliendelea kuwepo
Umati wa mashabiki wakishuhudia mchezo huo
Si wanawake ,watoto wala wazee wote walijitokeza uwanjani
mchezaji wa timu ya Milo akisakata kabumbu katika fainali ya kombe la Mbunge Filikunjombe leo
Timu ya Mapogolo wakianza kujipatia goli la kwanza kipindi cha kwanza dakika ya 10
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa na wachezaji wa timu ya Mapogolo ambao ndio waliibuka washindi
Mbunge Deo Filikunjombe akiwa na timu ya Milo
Mbunge Filikunjombe akikabidhi zawadi huku akinyeshewa na mvua
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akikabidhi zawadi ya ng'ombe kwa timu ya Mapogolo baada ya kuibuka mshindi wa kombe la Filikunjombe kata ya Milo,mashindano hayo hufanyika kata zote za jimbo la Ludewa
Furaha ya ushindi. Picha zote na mdau Francis Godwin

1 comment:

Anonymous said...

HII SAFI DEO ILA ANGALIA NA VIWANJA KABLA YA MASHINDANO WAVIBORESHE KWANZA