Sunday, April 29, 2012

Haki Thomas K. Ngowi na Edna Newton Kyando wameremeta

 Sheria Ngowi (kati) na nduguze katika mnuso wa Haki Ngowi
 Mama Ngowi akikaribishwa kutoa zawadi kwa Haki
 Mama Ngowi akitoa zawadi ya Biblia Takatifu kwa 
 Mama mzaa chema akienda kumpongeza bintiye
 Wazazai na ndugu wa binti wakimpongeza mtoto wao
 Ndugu wa binti wakienda kutoa mkono wa pongezi kwa maharusi
 Ndugu wa Bi Harusi
 Ni furaha na vifijo
 Shangazi akitoa wosia
 Keki
 Haki Ngowi akiwa na mpambe wake John Mwansasu
 Maharusi na wapambe mezani pao
 Furaha ya Kumeremeta

MC Evans Bukuku Kazini
 Madada wakila pozi
 Bi Harusi
Wapendanao

5 comments:

Anonymous said...

Huyo Mpambe wa Bwana Harusi jina lake ni John Mwansasu, beki wa Zamani wa Yanga na timu ya Taifa

Anonymous said...

my comment to issa michuzi matukio mengi tunayaona,katika website hii lakini kama kweli yeye nimwanahabari wa kweli kwa nini haingizi habar za wazanzibari wanaosema hawataki muungano. Ila habai zisizo na mvuto za miss nan anamuowa mr nani tunaziona na hazina faida kwa jamii ya mtanzania wa leo.
ahsante
kiumbe mzito.

Anonymous said...

bwana mzee hapo juu, hizi picha ni za harusi ya ndugu zetu, kama hazina mvuto kwako basi kwa sie sio tu mvuto its more than that.

by the road sio kila mtu anaona za muungano zina maana.

happy for you edna mdogo wangu, all the best.
naila.

Anonymous said...

Hongerani sana Edna & Haki Ngowi! tunawatakia maisha mema yenye baraka tele!

I am so happy for you my shangazi!

Anonymous said...

Yaani sikua nimejua kama kaka na dada wameoana....... thanx mysore

Hey its your broo from znz... the one who was at JSS Law 2005