Friday, March 23, 2012

Vilio vyatawala katika zoezi la bomoabomoa katika nyumba zilizokuwa za watumishi wa Mamlaka ya Bandari na Reli mtaa wa Msimbazi jijini Dar es Salaam ili kupisha ujenzi wa kituo cha mabasi yaendayo kasi



















1 comment:

Anonymous said...

hii ndio hali hali halisi ya nchi yetu sasa hapa sijui alaumiwe nani kwan tukisema tuwalaumu serikali, hata saa nyingine watz hatusikii. Naamin kabisa walifaamu juu ya hii bomoa bomoa lkn swali langu ni kwamba kwa nn hawakuondoka mpaka wasuburi kuanza kubomolewa na vtu vyao kuharibika. Nawashauri watz wenzangu tukubali kufuata sheria bila shuruti hili tunaimbiwa kila siku jamani