Tuesday, March 27, 2012

RATIBA YA SHUGHULI ZA KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA MASHIRIKA YA UMMA (POAC) _____________________ LENGO: KUCHAMBUA NA KUJADILI TAARIFA YA HESABU ZILIZOKAGULIWA ZA MASHIRIKA YA UMMA KWA MWAKA WA FEDHA UNAOISHIA JUNI 30, 2010 _ 26 Machi – 05 Aprili, 2012 UKUMBI: 204



Na.
TAREHE
SHIRIKA
MHUSIKA

1
Jumatatu
26/03/2012

  1. TANESCO
  2. Ubungo Plaza Co. Limited





·      WAJUMBE WA KAMATI

·      OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI

·      MSAJILI WA HAZINA

·      WENYEVITI WA BODI NA MENEJIMENTI ZA MASHIRIKA HUSIKA

















  • WAJUMBE WA KAMATI
2
Jumanne
27/03/2012

  1.  Chuo cha Teknolojia Arusha
  2. Baraza la Taifa la uwezashaji Kiuchumi ( NEEC)
3
Jumatano
28/03/2012

1.      Baraza la Taifa la usimamizi wa Mazingira ( NEMC)
2.      Mfuko wa kuwekeza Tanzania( UTT)
4
Alhamisi
29/03/2012

1.      Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB)
2.      Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi ( MUCCOBS)
5
Ijumaa
30/03/2012

1.      Mamlaka ya Elimu Tanzania ( TEA)
2.       Shirika la Maendeleo la Viwanda Vidogo ( SIDO)


7
Jumamosi na Jumapili
31/03 – 01/04 / 2012
Mapumziko ya Mwisho wa Wiki
8
Jumatatu
02/04/2012
  1. kutembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Mawasiliano Towers ( TCRA)
  2. kutembelea   Bodi ya Madawa na Kupokea Taarifa ya utekelezaji wa  Hoja za ukaguzi kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2010 (MSD)
9
Jumanne
03/04/2012

  1. Kukagua Miradi ya DAWASA
( day 1)

2. kutembelea Shirika la Maendeleo la Taifa ( NDC) na Ofisi za Mbia katika Mradi wa Mchuchuma/Liganga ( MMI) Dar es Salaam

10
Jumatano
04/04/2012
  1. Kukagua Miradi ya DAWASA na DAWASCO  Dar es Salaam
( day 2)
11
Alhamisi
05/04/2012
  1. majadiliano ya Taarifa ya mwaka ya Kamati


12
Ijumaa
06/04/2012
IJUMAA KUU

13
Jumamosi na Jumapili
07 – 08 Aprili

Kuelekea Dodoma
Katibu wa Bunge


No comments: