Saturday, March 3, 2012

Sherehe ya Siku ya Mwanamke lafana sana usiku huu jijini Dar

Muandaaji wa Sherehe ya siku ya Mwanamke lenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani,Shamim Mwasha akizungumza machache wakati wa hafla hiyo ambayo imefana sana usiku huu kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam
MC wa Hafla hiyo,Regina Mwalekwa akimtambulisha,Shamim Mwasha ambaye ni Muandaaji wa Sherehe ya Mwanamke lenye mlengo wa kuadhimisha siku ya wanawake Duniani iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena,Jijini Dar es Salaam.

No comments: