Wednesday, February 29, 2012

Shoo ya Evans Bukuku yafana sana leo

Mchekeshaji Maarufu Nchini,Evans Bukuku akikafanya vitu vyake usiku huu katika kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge,Namanga jiji Dar wakati wa Shoo yake ya kuvunja mbavu za watu (kucheka) iliyomalizika muda mfupi uliopita.
Evans Bukuku akiendele na Libeneke lake la kuchana mbavu za watu.
Evans akiigiza kama DJ.
Evans Akiigiza Kuimba kwa Manjonjo.
Dogo Pepe nae kama kawaida yake,akipanda jukaani lazima mkome wenyewe kwa vituko vyake.
Evans na Mshkaji wake wakuruka nae majoka (kucheza muziki).
Enika akiimba nyimbo zake za kuchekesha.
MC Taji Liundi akiwa Libenekeni usiku huu.
Mtangazaji wa Radio Clouds FM,Adam Mchomvu a.k.a Baba John nae alipata wasaha wa kupanda jukwaani na kutoa hadithi yake ya kuchekesha.
Kila Mtu alieingia kwenye shoo hiyo ya Evans Bukuku alifurahi sana na kuongeza siku zake za uhai (maana wanasema kuka ni uhai pia).

1 comment:

Anonymous said...

Inaonekana ilikuwa nzuri sana. Hv huwa inakuwa lini? na kuna membership yoyote? please michuzi we trust on you tupe taarifa nasi wengine tukacheke huko nyumbani Lounge!