Friday, February 3, 2012

MKUTANO WA PILI WA WADAU WA NSSF WAMALIZIKA LEO JIJINI ARUSHA

 Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza wakati wa kufunga Mkutano wa Wadau wa NSSF uliomalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Dkt. Ramadhan Dau akizungumza machache wakati wa kufunga Mkutano wa Wadau wa NSSF uliomalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
 Mwenyekiti wa Kikao cha leo,Mh. Mudhihir Mudhihir ambacho kilikuwa kikizungumzia maswala ya maambukizi ya virusi vya ukimwi na Ukimwi kwa ujumla kwenye Mkutano wa Wadau NSSF ambao umemalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
 Mtoa Mada inayohusu maswala ya maambukizi ya virusi vya ukimwi na Ukimwi kwa ujumla,Bi. Mariam Msuri akitoa mada hiyo.
 Dkt. Josephat Shani akitoa mchanganuo wa maswala ya maambukizi ya virusi vya ukimwi na ukimwi kwa ujumla kwenye Mkutano wa Wadau wa NSSF uliomalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.
 Dada Susan Nshoka akizungumzia maswala ya ukimwi.
 Naibu wa Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga akijibu moja ya hoja zilizokuwa zikitolewa na Wadau wa NSSF wakati Mkutano uliomalizika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha leo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira,Bw. Erick Shitindi.
 MC wa Mkutano akitoa taarifa.
 Mwenyekiti wa Kikao cha leo,Mh. Mudhihir Mudhihir ambacho kilikuwa kikizungumzia maswala ya maambukizi ya virusi vya ukimwi na Ukimwi kwa ujumla kwenye Mkutano wa Wadau NSSF akifafanua jambo.Mkutano huu umemalizika rasmi leo kwenye ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa NSSF,Dkt. Ramadhan Dau.
 Wadau wa NSSF.
 Wajumbe wa Bodi ya NSSF.
 Naibu Waziri wa Kazi na Ajira,Mh. Makongoro Mahanga (katikati),Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi na Ajira,Bw. Erick Shitindi na Mwenyekiti wa Bodi ya NSSF,Bw. Aboubakar Rajab wakifuatilia kwa makini Mada zilizokuwa zikitolewa mkutanoni hapo.
 Baadhi ya Wadau wa NSSF wakiuza maswali mbali mbali juu ya mada zilizokuwa zikitolewa. 
   Mh. Kabaka akikabidhi zawadi kwa wahudumu wa Mkutano wa Wadau wa NSSF iliyotolewa na Mmoja wa Wadau aliefahamika kwa jina la Issabela Mwampamba ikiwa ni shukrani wa Wahudumu hao kwa utendaji mzuri waliouonyesha mkutanoni hapo. 

No comments: