Monday, February 6, 2012

maadhimisho ya miaka 35 ya CCM Mwanza katika picha

 Siku ilianza na matembezi ya mshikamano
 Wananchi wa Mwanza wakishangilia matembezi
 Matembezi
 JK akiongoa matembezi
 Mwana CCM aliyemwagiwa tindi kali Igunga...
 Bodaboda kibao
 Matembezi













































 JK na mtoto
 Wageni toka nje
 Mtoto akibebwa na JK
 Rais Kikwete akisalimiana na wageni toka Ujerumani
 Wana CCM jukwaa kuu
 Palipendeza...
 Bodaboda ndani ya Kirumba
 Mama Salma Kikwete akisalimia umati
 Spika Anne Makinda akisalimia umati huo
 Kirumba stadium yatapika...
 Nyomi
 Nyomi na gwaride
 Green Guard
 Gwaride la miaka 35 ya CCM
 Kiapo cha utii kwa CCM
 Wadau wakirekodi matukio laivu...
 wana CCM shereheni
 Wageni shereheni
 Hafsa Kazinja hana presha kabisa
 Waitikiaji wa Vicky Kamata
 Vicky Kamata akituzwa kwa wimbo wake wa 'Mume wangu ni CCM'
 Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda wakifurahia kibao cha Vicky Kamata
 Madaraka Nyerere akimuwakilisha Mama Maria
 Makada wakifurahia sherehe
 Nyomi
 Kiongozi wa Wamachinga wa Mwanza akikabidhi risala yao
 "Hakunaga kama CCM...." na
 Kirumba palikuwa hapatoshi
 Vijana wa Mwanza shereheni
 Katibu Mkuu wa CCM akimkaribisha Mwenyekiti
 Nyomi ya kihistoria
 Hotuba mbele ya maelfu
 Hotuba ya Mwenyekiti wa CCM
 Hotuba ya miaka 35 ya CCM
 Hotuba ikiendelea
 Msisitizo
 Mwanachama mmoja kati ya elfu moja na ushee walioamua kurejea CCM Mwanza
 Ni furaha tupu
 Ukakamavu wa Sungusungu wa Kwimba
 Sungusungu dance
 Asanteni wachungaji kwa kuhudhuria..
Kwaheri ya kuonana...na asanteni sana watu wa Mwanza

2 comments:

Anonymous said...

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI

Anonymous said...

SALAM KAKA! nimeipenda sana kazi yako hum kwenye blog yako ,hasa hizi picha za sherehe za CCM.endelea na kazi yako nzuri na Mungu azidi kukubariki.
Pia samahani nimechukua picha kadhaa ,na natumaini utakuwa powa kwa kushirikiana kwa kujivunia Nchi yetu Tanzania.