Thursday, February 16, 2012

HAFLA YA UZINDUZI WA NEMBO YA REDD’S MISS TANZANIA 2012 YAFANA SANA JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Mawasilano wa TBL,Steven Kilindo akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania 2012 kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam usiku huu.
Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original,Victoria Kimaro akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania 2012 kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam usiku huu.
Mkurugenzi wa LINO Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania,Hasim Lundenga akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania 2012 kwenye ukumbi wa Mlimani city jijini Dar es Salaam usiku huu.
MC Taji Liundi akiwajibika.
Warembo walioshiriki Miss Tanzania mwaka 2011,wakiongozwa na Mrembo anaeshikilia taji hilo.Salha Israel (wa tatu kushoto) wakifungua pazia kuaziria uzinduzi wa nembo mpya ya Redd's Miss Tanzania 2012 wakati wa hafla iliyofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City,Jijini Dar es Salaam.
Baada ya Uzinduzi sasa ni Burudani ya kijipongeza kwa warembo wa Miss Tanzania na Wakuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) ambao ndio wadhamini wakuu wa Redd's Miss Tanzania 2012.
Miss Tanzania anaeshilia ttaji hivi sasa,Salha Israel akiwa na kinywaji cha Redd's Original mbele ya Nembo mpya ya wadhamini hao.
Cheazzzzz.........
Nembo Mpya.
Kina Sie tuwajibikavyo.

No comments: