Friday, January 13, 2012

mazishi ya Mohamed Tambaza jijini Dar es salaam

 Baadhi ya waombolezaji kwenye mazishi ya Mohamed Tambaza, mmoja wa watu maarufu jijini Dar es salaam katika nyanja za siasa, michezo na maendeleo ya jamii. Alifariki juzi na kuzikwa na mamia ya wakazi wa jiji la Dar katika makaburi ya Ubungo External
 Waombolezaji kinamama
 Dua kwa marehemu
 Sehemu ya umati wa waombolezaji
 Waombolezaji wakiwa wamejipanga kuusindikiza mwili wa marehemu kwa maziko





 Jeneza likipelekwa makaburini
 Msafara ukiongozwa na trafiki
Msafara wa magari

No comments: