Friday, January 13, 2012

Heshima za mwisho kwa Kanali Pastory Kamugisha wa JWTZ leo Lugalo

 Rais Jakaya Kikwete akiweka saini kwenye kitabu cha maombolezo ya Hayati Kanali Pastory Kamugisha wakati wa kutoa heshima za mwisho kwenye kambi ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam leo.
 Mama Salma Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo
 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete na viongozi wa juu wa Wizara ya Ulinzi pamoja na JWTZ
 Familia ya marehemu
 Mwili wa Marehemu ukiwasili
 Heshima ya mwisho
 Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima za mwisho
 Rais Kikwete akiifariji familia ya marehemu
 Rais Kikwete na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa ambao pamoja na marehemu walikuwa kombania moja jeshini


No comments: