Mdau Henry Mdimu a.k.a Zee la Nyeti akionyeshana malavidavi na mai waifu wake
Mdau Henry Mdimu akitambulisha ndugu,jamaa na marafiki zake huku ubavu (mkewe) wake ukisikiliza kwa makini wakati wa utambulisho huo.
kula mamsap wangu wa kufa na kuzikana.
wakati wa maakuli uliwadia na maharusi ndio walioongoza kwa wageni waalikwa katika zoezi hilo.
Mdau Mroki Mroki na mai waifu wake pia walikuwepo katika mnuso huo.
Msanii Bongo Fleva,Barnabas akitumbuiza katika hafla hiyo.
Mzee wa Libeneke,Ankal Michuzi na ubavu wake (kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maharusi.
Mduara ukisongeshwa.
wapendanao.
Wadau Othman (kushoto) na Ahmad Michuzi (kulia) wakiwa na maharusi ukumbini hapo.
Maharusi na wapambe wao.
wakati wa keki.
Kwaitoozz
Ma MC's
Mwana FA na wadau.
3 comments:
hongera mdimu
Hongera Mzee wa Nyeti umepata kitu chema mai waifu wako mrembo sana. Hongera bibie umevunja unyanyapaa wasichana warembo kama wewe watawakimbilia wadau mbona ni watu wa kawaida kabisa.
Nawatakia kila la heri ndoa ya amani kwani ni ndoa yenye upendo wa dhati kabisa, msisikie ya watu.
Mungu asimame pamoja navyi
Hongera sana Mr. Mdimu ! Nimeipenda sana hii arusi na kwa jinsi mlivyopendeza na huyo mkeo. Nawatakai maisha mema yenye baraka tele ktk maisha mapya ambayo mnaenda kuanza !
Post a Comment