Wednesday, November 2, 2011

libeneke la taswirazz enzi za mwalimu

















11 comments:

Anonymous said...

jamani mbona hizi taswira zimetulia hivi? yaani zimekaa poa kinoma...ila sijajua kama ni wa tz, wa africa ama wa black america?

Anonymous said...

Umenikumbusha mbali sana MICHUZI. Umeomba ridhaa yao wengine wazee wetu humo

Anonymous said...

Mhh hawa ni watanzania au??
Mbona siwaelewi?

Anonymous said...

kwa kweli nimeipenda hii, i think you should put a page for the pics like this special for the 50 yrs of tanganyika, so everybody can send pics. we would not like pics of 90's til today

Anonymous said...

Kweli zamani kulikuwa na mitindo mizuri. lakini mitindo yote naona kama inarudi tena kama hivyo vishati vya slim na visuluali vya kubana si mitindo ya kizamani kweli hakuna jipya sasa

Anonymous said...

Duh,
Leo umenifurahisha...picha nzuriiiiii...zinarudisha kumbukumbu za miaka mingi...Ubarikiwe kwa mkusanyiko huu wa picha hizi.

Hili ni moja ya mambo ambayo ni ya muhimu sana katika jamii yetu. Tusisahau tulikotoka...inasaidia kutujuvya huko tuendako.

Kuna mtu aliwahi kusema kwa kimombo "if you don't review your history, you are bound to repeat it"

Uwe na siku njema kaka.

Anonymous said...

boss vp umepata rukhsa ya kupublish picha ya 7 kwani hina kwikwi kidogo

Anonymous said...

kisha mnatusema watoto wa siku hizi tizama wototo wa zamani wakiwa beach mambo hadharani

Anonymous said...

hahaha! ankali umenivunja mbavu, hapo nimeona kitu cha pekoz, tunaomba utuwekee caption

Anonymous said...

Asante sana Ankal. Umenikumbusha mbali mimi kijana wa enzi hizo. Haule, bAGAMOYO

marcelino said...

ni swaga za ukweli, zinatukumbusha vema years back big-up!