Wednesday, October 26, 2011

RATIBA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI ZA MITAA (LAAC) KUANZIA TAREHE 23 OKTOBA HADI 06 NOVEMBA 2011

UKUMBI Na. 114: -OFISI NDOGO YA BUNGE DAR ES SALAAM

NA.
TAREHE
SHUGHULI
WAHUSIKA
1.
23/10/2011
Jumapili

§  Kuwasili Dar es salaam

§  Wajumbe
2.
24/10/2011
Jumatatu
§  Masuala ya Kiutawala
§  LAAC , NAOT na TAMISEMI
3.
25/10/2011
Jumanne
§  Singida (W)
§  Chato (W)


§  LAAC
§  NAO
§  TAMISEMI
§  HAZINA
§  Halmashauri husika
4.
26/10/2011
Jumatano
§  Bukoba (W)
§  Bukoba (Man)
5.
27/10/2011
Alhamis
§  Karagwe (W)
§  Muleba (W)
6.
28/10/2011
Ijumaa
§  Kahama (W)
§  Kishapu (W)
7.
29/10/2011
Jumamosi
§  Meatu (W)
§  Bariadi (W)
8.
30/10/2011
 Jumapili
§  Igunga (W)
§  Sikonge (Man)
9.
31/10/2011
Jumatatu
§  Urambo (W)
§  Tabora (Man)
10.
01/112011
Jumanne
§  Ziara. Temeke (Manispaa)
11.
02/11/2011
Jumatano
§  Ziara, Ilala (Manispaa)
12.
03/11/2011
Alhamisi
§  Ziara, Kinondoni (Manispaa)
§  Ziara, Dar es Salaam (Jiji)
13.
04/11/2011
Ijumaa
§  Majumuisho, ofisi ya RAS,
§  Mkoa wa Dar es Salaam.
14.
05-06/11/2011
Jumamosi -Jumapili

§  Kusafiri kuelekea Dodoma
§  Katibu wa Bunge

TANBIHI:
i)                Ratiba itategemea Kibali cha Spika kwa mujibu wa Kanuni ya 114 (3) (4) na (5)
ii)               Ikitokea kuna kazi iliyoletwa na Mheshimiwa Spika ratiba itabadilika
iii)             Vikao vitaanza  Saa 3.00 Asubuhi

No comments: