Friday, September 9, 2011

NANI KUONDIKA NA TAJI LA VODACOM MISS TANZANIA 2011 LEO....???


HAWA NDIO WASHIRIKI WA VODACOM MISS TANZANIA 2011 AMBAO USIKU WA LEO WATAINGIA KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA KUWANIA TAJI HILO.JE NANI ATAONDOKA NA TAJI HILO KATIKA HAWA??

8 comments:

Anonymous said...

TAARIFA ZA KIKACHERO ZINAONESHA MSHIRIKI NAMBA 13 NDO MSHINDI

Anonymous said...

DOh!!! Mbona wote wazuri!! Nimefuvutiwa na wote hapo

Anonymous said...

Hata mimi nawaona wote wakali,ingekuwa nimepewa mtihani nimchague mmoja ningepata ZERO.But mshindi wanamjua majudge,ANGALISHO; SALAMA WA BSS ASIWEPO KWENYE KUNDI LA MAJUDGE ikiwezekana hata ukumbini asiruhusiwe kuingia!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Kwa kufuatilia picha, nakubaliana na hoja ya Mshiriki namba 13....sura si mbaya na dental formula imetulia

Anonymous said...

Loveness Flavian amefunika wasiwasi wangu mkoa anaotoka manake wasindi kila siku mikoa yenye majina.

sizzyme said...

nadhani mshiriki namba 28 salha Israel ndo mshindi, hongera sanai

sizzyme said...

mshiriki namba 28 salha israel ndo mshindi

Anonymous said...

DOOOOOOOOOO.... EBWANA WA RUVUMA NDO MSHINDI WANGU. SHE IS GREAT. GOD BLESSSSSSSSSSS HER. ;-)