Friday, September 30, 2011

Mkutano wa mawasiliano wa masoko Tanzania TMCC hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam leo


DSC_0252.JPG
 Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo Leonard Thadei  wa sita kutoka kushoto waliosimama mbele akiwa  katika picha ya pamoja na washiriki wa mkutano wa  Tanzania Marketing Communication  Confrence (TMCC)  uliofanyika jijini Dar es Salaam, uliowshirikisha wataalamu wa masoko toka makampuni mbalimbali  hapa nchini.


DSC_0241.JPG
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo Leonard Thadei akihutubia  katika mkutano wa  Tanzania Marketing Communication Confrence (TMCC) uliowshirikisha wataalamu wa masoko toka makampuni mbalimbali hapa nchini. Mkutano huo uliodhaminiwa na Kampuni ya Vodacom ulikuwa na lengo la kuwakutanisha wataalamu hao ili waweze kubadilishana utalaamu wao.


DSC_0229.JPG
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko Tanzania Marketing (TMCC) uliowahusisha wataalaamu wa masoko kutoka makampuni mbalimbali wakifuatilia mada katika mkutano huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.mkutano huo ulidhaminiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.


DSC_0215.JPG
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko Tanzania Marketing Communication  Confrence (TMCC) uliowahusisha wataalaamu wa masoko na mawasiliano  uliofanyika katika Hoteli ya Golden Tulp  jijini Dar es Salaam,  wakifuatilia mada iliyokuwa ikitolewa na Mshauri wa maswala ya masoko wa kampuni ya Constomer   Passion Point Ltd  Ikechuku Kalu.


DSC_0296.JPG
Meneja huduma na Bidhaa wa kampuni ya Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi, akiongea na wandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa  Tanzania Marketing Communication  Confrence (TMCC )  katika  Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam, Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania  ni miongoni mwa makampuni yaliyodhamini mkutano huo wa siku mbili. 


DSC_0216.JPG
Mwenyekiti  wa Marketing Society of Tanzania  Rosemary Mwakitwange akifafanua jambo katika wa  mkutano wa wa Mawasiliano wa masoko  (Tanzania Marketing Communication  Confrence (TMCC) uliowashirikisha wataalam wa  masoko wa makampuni mbalimbali ikiwa na lengo la kuwakutanisha pamoja ili kubadilishana uzoefu  wao kushoto ni Mshauri wa maswala ya masoko wa kampuni ya Constomer   Passion Point Ltd  Ikechuku Kalu 


DSC_0197.JPG
Mshauri wa maswala ya Masoko wa kampuni ya Constomer   Passion Point Ltd  Ikechuku Kalu akitoa mafunzo katika mkutano wa Mawasiliano wa masoko (Tanzania Marketing Communication  Conference -TMCC) uliowashirikisha wataalamu  wa  masoko na mawasialiano wa makampuni mablimbali ikiwa na lengo la kubadilishana uzoefu  mkutano huo wa siku mbili ulidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.


DSC_0287.JPG
Meneja huduma na Bidhaa wa kampuni ya Vodacom Tanzania Elihuruma Ngowi, akiongea na wandishi wa habari kuhusiana na mkutano wa  Tanzania Marketing Communication  Confrence (TMCC )  katika  Hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam, Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania  ni miongoni mwa makampuni yaliyodhamini mkutano huo wa siku mbili. 

No comments: