Monday, September 5, 2011

DJ Venture na Benadina wameremeta

 Hapa katika kiota kipya cha Minuso cha Hoteli ya Kilimamnjaro Hyatt ndipo DJ Venture alipoandaa mnuso wake. Kwa wasiojua ni kwamba hoteli hii kule uwani kwake kuna bonge la ukumbi katika Marquee yake ambao ni full-kiyoyozi
 Gadner G Habash (shoto) akiwa na crew ya Bonny Love
 mmmmmwaaaaaaaa......
 Hahahhaaaaaaaaaaaaa






 Arnold shwaznegger ndani.....


 Nani kasema maharusu hawajatabasamu???









 JP akose tena??

 Kaka Tibaigana na mtarajiwa wake ndani ya nyumba.......
 Kaka Mkubwa Bonny Love na nanihi walikuwepo.....






 TID alikuwepo kuwaimbia maharusi live & Direct toka moyoni






 Bonventure Kilosa "Dj Venture" akiwa na mai waifu wake Benadina huku wakionyesha nondozz zao mara baada ya kumeremeta leo kwenye kanisa la Mtakatifu Martha lililopo Mikocheni B,jijini Dar.
Dj Venture akimwanga wino kwenye Nondoz ya ndoa mchana wa leo.




 Shemeji nae akimwaga wino huku Dj Venture akimcheki kuhakikisha hakosei. 







Venture akila kiapo cha ndoa.



 Maharusi wakijadiliana jambo.
Maharusi na wapambe wao wakiwa kanisani.
picha ya pamoja baada ya kumeremeta.


2 comments:

Anonymous said...

soooooooooooo damn gooood!

decent man said...

hapo sasa mkubwa umefanya kweli,komaa thats new life ma bro....big up sanaaa