Saturday, August 20, 2011

Mstahiki Meya wa Kinondoni Mh. Yusuph Mwenda afutarisha madiwani

 Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh Yusuph Mwenda (kulia) akiagana na madiwani na wageni waalikwa baada ya futari aliyoandaa Kinondoni Bomani  jijini Dar es salaam Ijumaa hii jioni
 Mh Mwenda akiagana na wageni wake

 Asanteni kwa kuja waheshimiwa...
 Mstahiki asante kwa futari...
 Meya wa kinondoni Mh. Yusuph Mwenda akiongea na wazee wa manispaa hiyo baada ya kufuturu
 Mstahiki Meya wa kinondoni Mh Yusuph Mwenda akiagana na Alhaj Mwenda
 Shukran sana Mstahiki...
Mstahiki  Meya wa Ilala Mh. Jerry Silaa akipozi na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Kionondoni
 Mstahiki Meya wa Kinondoni Mh. Yusuph Mwenda akiagana na Mstahiki Meya wa Ilala mh Jerry Silaa
 Madiwani kinamama mezani pao
 Wageni waalikwa na madiwani
 Waalikwa 
 Madiwani katika hafla 
Sehemu ya waalikwa 

No comments: