Wednesday, August 3, 2011

mkutano wa SID World Congress 2011 wamalizika kwa mafanikio makubwa

Ankal na Masoud Ally Kipanya wakiwa katika mapumziko wakati wa mkutano huo jijini Washington DC
 Rais wa Society for International Development (SID) Tanzania Chapter Mh. Mahmoud Thabit Kombo akibadilishana mawazo na mjumbe wa kamati ya utendaji wake Masoud Ally Kipanga wakati wa mapumziko ya siku ya mwisho wa mkutano mkuu wa SID World Congress 2011 wikiendi ilopita katika hoteli ya Omni Shoreham jijini Washington DC, Marekani
Rais wa Society for International Development (SID) Tanzania Chapter Mh. Mahmoud Thabit Kombo wakiwa na katibu mkuu wa SID pamoja na mjumbe wa kamati ya utendaji wake Masoud Ally Kipanga wakati wa mapumziko ya siku ya mwisho wa mkutano mkuu wa SID World Congress 2011 katika hoteli ya Omni Shoreham jijini Washington DC, Marekani
Rais wa Society for International Development (SID) Tanzania Chapter Mh. Mahmoud Thabit Kombo wakibadilishana mawazo na mdau pamoja  mjumbe wa kamati ya utendaji wake Masoud Ally Kipanga wakati wa mapumziko ya siku ya mwisho wa mkutano mkuu wa SID World Congress 2011 katika hoteli ya Omni Shoreham jijini Washington DC, Marekani
 Mh. Thabit Kombo na Katibu Mkuu wa SID Tanzania Chapter na mdau aliyewatembelea mkutanoni
 Ujumbe wa Tanzania Chapter Mkutanoni. Toka shoto ni Mweka hazina wa SID Tanzania Chapter Yasmin said Chali, mjumbe wa kamati ya utendaji Masoud Ally Kipanya, June Warioba Katibu Mkuu na Aidan
 Mkutano mkuu wa wanachama wa SID international Chapters
 Makamu Mwenyekiti Balozi Juma Mwapachu wakifuatilia kwa makini mkutano unavyoendelea
 Makamu Mwenykiti wa SID Balozi Juma Mwapachu akitoa mchango wake kwenye mkutano mkuu wa chama
 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais wa Kenya (Baraza la Mawaziri) akichangia
 June Warioba na Yasmin Said Chali wakiwa na katibu mkuu wa SID duniani
 Balozi Juma Mwapachu akiwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa SID International chapters
 Ujumbe wa Tanzania na Kenya katika picha ya pamoja
 Wajumbe wa Tanzania Chapter mkutanoni
 Yasmin na June wakiwa na mmoja wa waandaaji wa mkutano huo
 Wajumbe wa Tanzania Chapter wakiongea na Rais wa SID International aliyemaliza muda wake
Makamu wa Rais wa SID International Balozi Juma Mwapacha akiongea na Rais wa SID Tanzania Chapter Mh. Mahmoud Thabit Kombo siku ya mwisho ya mkutano huo wa siku tatu wikiendi ilopita

No comments: