Monday, August 1, 2011

Da' Devotha na Rogers wameremeta

Da' Devotha akiwa na mai hazbend wake Rogers mara baada ya kumeremeta kwenye hoteli ya Golden Tulip hivi karibuni.
 Da' Devotha akila kiapo cha ndoa na mai hazbend wake  Rogers.
 Kiapo kikiendelea.
 Da' Devotha akimwaga wino huku Mai hazbendi wake na wapambe wao wakishuhudia.
 Shem wetu akimwaga wino na yeye.
 Maharusi na wapambe wao
 Maharusi wakiwa na wazazi wao pamoja na ndugu wengine.
 Wapambe wakiingia kwa staili yao ya kipekee.
 Maharusi na warembo.
Da' Devotha akiwa na mai hazbend wake Rogers.
Wakati wa kukata keki ulipowadia.
Mkurugenzi wa Makampuni ya IPP,Reginald Mengi (pili kulia) akibadilishana mawazo na Maharusi mara baada ya kumeremeta hivi karibuni.










1 comment:

Anonymous said...

nimepnda makeup la dadevotha... lakini mbona hakumnyoa ndevu shem?