Thursday, July 14, 2011

TBL YASAIDIA MAJI LUDEWA

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu (wa pili kulia), na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, Pindi Chana (CCM), wakimtwisha ndoo ya maji Mama Mkazi wa Kijiji cha Lugarawa, Mary Luoga wakati wa uzinduzi wa tenki la maji lenye ujazo wa lita 50,000 lililojengwa kwa msaada wa Sh. milioni 15 za TBL katika kijiji hicho kilichopo wilayani Ludewa, Iringa.Makabidhiano ya tenki hilo yalifanyika hivi karibuni katika kijijini hapo.

 Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Lugarawa, Mathias Kihaule (kushoto), akiipongeza Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kwa Ofisa Uhusiano wa kampuni hiyo, Dorris Malulu baada ya kukabidhiwa mradi wa Tenki la maji lenye ujazo wa lita za maji 50,000 lililojengwa kwa msaada wa sh. milioni 15 za TBL katika Kijiji cha Lugarawa, wilayani Ludewa, Iringa. Anayeshuhudia makabidhiano hayo yaliyofanyika hivi 
karibuni katika Kijiji hicho, ni Mbunge wa Viti Maalum, Pindi Chana (CCM).

 Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa tenki la maji lenye uwezo wa  kuhifadhi ujazo wa lita za maji 50,000 lililojengwa na TBL kwa msaada 
wa sh. milioni 15 katika Kijiji cha ya Lugarawa, wilayani Ludewa, Iringa.Anayeshuhudia uzinduzi huo uliofanyika hivi karibuni sambamba na kukabidhi mradi huo, ni Mbunge wa Viti Maalum Pindi Chana (CCM).
 Doris Malulu wa TBL, akihutubutubia katika makabadhiano hayo.
 Kwaya ya Umoja wa Wanawake wa CCM, wa Kata ya Lugarawa  wakitumbuiza katika hafla ya 

Wakazi wa Kata ya Lugarawa wakitumbuiza kwa ngoma wakati wa makabidhiano hayo.

No comments: