Thursday, July 14, 2011

KUMBUKUMBU ZA MAREHEMU MZALENDO SEKOU TOURE MNDEME KATIKA HARAKATI ZAKE NA TPN

 Kama kumbukumbu za harakati za marehemu katika kujishughulisha na Mtandao wa Wanataaluma Tanzania, zifuatazo ni baadhi ya kumbukumbu zilizopo TPN. Bila shaka wengi mtaweza kuzitambua picha zifuatazo na matukio yaliyoambatana na picha hizo. Katika hizi picha wapo pia wana TPN wengine ambao pia wanaweza kutambuliwa.
Mnakaribishwa kutoa maoni  kuhusu picha hizi n hata kuzungumza machache kuhusu marehemu Mzalendo Mndeme: Wasalaam - Mz. Sanctus Mtsimbe








No comments: