Monday, July 4, 2011

AIRTEL WALIPOANDAA PARTY YA KUMKARIBISHA ANDY COLE NA KUMKUTANISHA NA WADAU MBALI MBALI SIKU ALIPOTEMBELEA BONGO

 Andy Cole akipokea zawadi maalum toka kwa wakuu wa Airtel
 Muwakilishi wa timu ya Manchester United,Nick Humphrey akipokea zawadi na yeye toka kwa viongozi wa Airtel.

 Andy Cole akibadilishana mawazo na Mh. Ismaeel Aden Rage siku walipokutana katika hafla ya kumkaribisha nchini,iliyofanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Kempinski.

 Andy Cole na Juma Pinto.
 Andy Cole na wadau wa Airtel Tanzania.
 Andy Cole na Warembo
 Wakiangalia moja ya mechi za Andy Cole alipokuwa akiichezea Man Utd.
 Andy Cole na Ephraim Kibonde.
 Andy Cole na Patrick Nyembera.
 Andy Cole na Ben Kinyaiya.
 Wadau wa Airtel wakiwa na Ben Kinyaiya.
 Dj Peter Moe na Shaffih Dauda.
 Andy Cole akimwaga wino katika moja ya jezi ya mdau.
 Andy Cole akimuonyesha picha Mh. Aden Rage.

 Mh. Rage na wadau.
 Andy Cole akipata mshikaki wa samaki.
 Wadau.

No comments: