Friday, June 24, 2011

shamra shamra za kuhitimisha maonesho ya wiki ya utumishi kwa umma viwanja vya mnazi mmoja jijini dar es salaam

 Wadau wa Bunge wakiwa katika maandamano ya kuhitimisha maonesho ya wiki wa utumishi kwa umma
 Ndugu zetu wa kutoka Zimbabwe walikuwepo pia
 Sehemu ya maofisa wa taasisi mbalimbali za umma
 Wizara ya Afya

 Tume ya mawasiliano
 Mamlaka ya viwanja vya ndege
 Wakala wa ndege za serikali


 Kundi la ngoma za utamaduni la JKT likiburudisha kwa ngoma ya 'Gobogobo' 
 Wizara ya ardhi watu kibao
 NDC walikuwepo kama kawa
 Bosi wa BRELA akiwajibika bandani kwao
 Wadau wa PPF wakiwakilisha
 Benki ya TIB ikiwajibika kwa umma

 Afisa wa Benki Kuu akielimisha umma kuhusu noti na sarafu 
 Wananchi wakiangalia sarafu na noti banda la BOT
 Da'Vicky Msina akionesha sarafu banda la BOT
 Ofisi ya Rais Menjimenti ya utumishi wa Umma
 Kaka Mushi kinara wa banda la Utumishi Instite mzigoni
 Wadau wa RITA wakiwa tayari kutumikia umma
 Watu kibao RITA
 Maktaba ya Taifa ndani
 Uhamiaji
 Kituo cha uwekezaji
 Jeshi la Magereza
 Banda la Bunge
 PSPF palikuwa hapatoshi
 Ubunifu wa CAMARTEC
 Mdau Rehani wa Mfuko wa Boma ya Afya akiwajibika
 Hospitali ya Taifa ya Muhimbili
  Mnuso
Mrisho Mpoto na Mjomba Band walikuwepo kutoa burudani
 Afisa wa Wakala wa Majengo akiwajibika hadi dakika za mwisho
Vijana wakielimishwa kuhusu Wakala wa Majengo
 
 Wakala wa Majengo wakihudumia uma
Maelezo kwa umma kuhusu wakala wa Majengo

No comments: