 |
Mwamvita Makamba akimpongeza Flaviana kwa kuzindua Flaviana Matata Foundation |
 |
Flaviana akiwa na co-founders wa Flaviana Matata Foundation,
Mwamvita Makamba na Ruge Mutahaba |
Hasheem Thabeet naye alikuwepo. Flaviana akiongea na Jokate Mwegelo
 |
MC Baby Kabaya akifanya vitu vyake |
Maria Sarungi-Tsehai akiwa na wadau wa Vodacom
 |
Flaviana akiongea na Mkurugenzi wa Utamaduni Profesa Mwansoko na Hashim Lundenga wa Miss Tanzania |
 |
Flaviana Matata akiwa na baadhi ya marafiki waliofika kumuunga mkono |
 |
Mbunge wa Singida Mjini Mh. Mo Dewji akiongea na Teddy Mapunda wa Serengeti Breweries na Da' Furaha wa Multi Choice. Kulia ni mdau Inno |
Toka shoto ni Fide Ilanga, Seven, Jeff Msangi, Mama Msangi na Khadija Mwanamboka
Ankal akiwa na wanalibeneke Jeff Msangi, Haki Ngowi na Baraka Shelukindo
 |
Mdau Ben Mulokozi akiwa na Baraka Shelukindo |
 |
Flaviana akipozi na toka shoto Luca wa Bongo5, Haki Ngowi, Jeff Msangi wa Bongo Celebrity, Ruge Mutahaba wa Clouds FM na Ankal |
No comments:
Post a Comment