Tuesday, June 7, 2011


 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
  
RATIBA YA JINSI WIZARA ZITAKAVYOWASILISHA BAJETI ZAO KWENYE MKUTANO WA NNE WA BUNGE LA BAJETI
YA MWAKA WA FEDHA 2011/2012



07 JUNI 2011
DODOMA

NA.
TAREHE NA SIKU
SHUGHULI HUSIKA NA WIZARA
IDADI YA SIKU
KAMATI HUSIKA
1.
JUMATATU–JUMAMOSI
23/5/2011 – 4/6/2011

Kamati za Sekta kupitia Bajeti


Siku 14
IDARA YA KAMATI ZA BUNGE/
SHUGHULI ZA BUNGE
2.
JUMATATU
6/6/2011
  
·         Kamati ya Uongozi (Maalum)

Siku 1
SHUGHULI ZA BUNGE
3
JUMANNE
07/6/2011
Mkutano wa Bunge kuanza kwa shughuli zifuatazo:
·      Maswali.
·      Briefing.
·      Shughuli za Serikali
Siku 1
IDARA YA SHUGHULI ZA BUNGE                                                                                                                                                       
4.
JUMATANO
08/6/2011
·         Maswali ya Kawaida.
·         Waziri wa Fedha kusoma Taarifa ya Hali ya Uchumi.
·         Saa 10 Jioni.
Waziri wa Fedha atasoma Hotuba ya Bajeti ya Serikali.
Siku 1
KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI
5.
ALHAMISI
09/6/2011
·         Maswali kwa Waziri Mkuu
·         Maswali ya Kawaida.
·         Shughuli za Serikali
Siku 1
IDARA YA SHUGHULI ZA BUNGE
6.
IJUMAA
10/6/2011
Siku hii imetengwa kwa ajili ya Wabunge kupitia vitabu vya Bajeti
Siku 1
IDARA YA SHUGHULI ZA BUNGE
7.
JUMATATU-JUMANNE
13/6/2011-14/6/2011
Mjadala kuhusu Mpango wa Kwanza wa Maendeleo wa Miaka Mitano(2011/2012-2015/2016)

Siku 2


KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI
8.
JUMATANO– JUMANNE
15/6/2011 – 21/6/2011
MAJADILIANO YA BAJETI YA SERIKALI
Siku 5
KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI
9.
JUMATANO
22/6/2011
Muswada wa Sheria ya Fedha
(Finance Bill, 2011)
Siku 1
KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI
10.
ALHAMISI - JUMATANO
23/6/2011 – 29/6/2011
·     Hotuba ya Waziri Mkuu
·     Hotuba ya Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI[1]
·     Majumuisho ya Waziri Mkuu
Siku 5
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
11.
ALHAMISI - IJUMAA
30/6/2011 - 1/7/2011
·         Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora)
·         Mahusiano na Uratibu
Siku 2
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
12.
JUMATATU-JUMANNE
4/7/2011-5/7/2011
OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MUUNGANO na MAZINGIRA)
Siku 2
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
13.
JUMATANO NA IJUMAA
6/7/2011 NA 8/7/2011
WIZARA YA MAJI
Siku 2
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
14.
JUMATATU
11/7/2011
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA
Siku 1
KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA
15.
JUMANNE
12/7/2011
WIZARA YA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA.
Siku 1
KAMATI YA MIUNDOMBINU
16.
JUMATANO - ALHAMISI
13/7/2011 - 14/7/2011
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII.
Siku 2
KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII
17.
IJUMAA NA JUMATATU
15/7/2011 NA 18/7/2011
WIZARA YA NISHATI NA MADINI

Siku 2
KAMATI YA  NISHATI NA MADINI
18.
JUMANNE - JUMATANO
19/7/2011-20/7/2011
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
Siku 2
KAMATI YA HUDUMA ZA JAMII
19.
ALHAMISI
21/7/2011
WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO.
Siku 1
KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII


20.
IJUMAA
22/7/2011
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Siku 1
KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA
21.
JUMATATU – JUMANNE
25/7/2011 - 26/7/2011
WIZARA YA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA.
Siku 2
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
22.
JUMATANO
27/7/2011
WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI.
Siku 1
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA MAJI
23.
ALHAMISI - IJUMAA
28/7/2011 - 29/7/2011
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
Siku 2
KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA
24.
JUMATATU - JUMANNE
1/8/2011 - 2/8/2011
WIZARA YA UJENZI
Siku 2
KAMATI YA MIUNDOMBINU
25.
JUMATANO- ALHAMISI
3/8/2011 - 4/8/2011
WIZARA YA UCHUKUZI
Siku 2
KAMATI YA  MIUNDOMBINU
26.
IJUMAA
5/8/2011
WIZARA YA KAZI NA AJIRA
Siku 1
KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII
27.
JUMANNE - JUMATANO
9/8/2011 - 10/8/2011
WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA.
Siku 2
KAMATI YA VIWANDA NA BIASHARA
28.
ALHAMISI - IJUMAA
11/8/2011 - 12/8/2011
WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO.
Siku 2
KAMATI YA MAENDELEO YA JAMII
29.
JUMATATU - JUMANNE
15/8/2011 - 16/8/2011
WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI
Siku 2
KAMATI YA  ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA
30.
JUMATANO – ALHAMISI
17/8/2011 - 18/8/2011
WIZARA YA MALIASILI NA UTALII
Siku 2
KAMATI YA  ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA
31.
IJUMAA
19/8/2011
WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI
Siku 1
KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA


32.
 JUMATATU
22/8/2011
WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

Siku 1
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
33.
JUMANNE
23/8/2011
WIZARA YA FEDHA
Siku 1
KAMATI YA  FEDHA NA UCHUMI
34.
JUMATANO
24/8/2011
(i)   Miswada ya Sheria ya Serikali Appropriation Bill, 2011;
(ii)  Statements of Reallocation Warrants (kama zitakuwepo);
(iii) Majibu ya Serikali (Treasury Notes) kuhusu Taarifa za Kamati za Kudumu za Bunge za PAC, LAAC na POAC ;
(iv) Hoja za Kamati;
(v)  Maazimio
Siku 1
KAMATI YA FEDHA NA UCHUMI

35.
ALHAMISI
25/8/2011
Semina ya Wabunge kuhusu Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Siku 1
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
36.
IJUMAA
26/8/2011
Shughuli za Serikali.
Siku 1
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
37.
JUMATATU-JUMANNE
29/8/2011 - 30/8/2011
·         Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Siku 2

KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA UTAWALA
38.
JUMATANO
31/8/2011
·     HOJA YA KUAHIRISHA BUNGE
Siku 1
WAZIRI  MKUU
MWISHO



      *Tarehe 23/06/2011 zitasomwa Hotuba tatu, ya kwanza itahusu masuala ya Sera, Uratibu na Bunge; ya pili itahusu masuala ya  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa; na ya tatu itahusu masuala ya Uwekezaji na uwezeshaji. Waziri Mkuu atahitimisha kwa kuomba Fedha za Makadirio ya Matumizi za Mafungu yote kwa mwaka wa Fedha 2011/2012

No comments: