Sunday, June 19, 2011

hepi besdei ya kuzaliwa babu njenje

 Mapacha wawili wa ukweli walikuwepo
 Ankal akose achekweeee...
 Babu Njenje akila konozzz na Asmah Macau
 Mambo ya Nyota na Gere Mama kama kawa
 Zawadi yafunguliwa
 Babu Njenje ana haraka huyo ka mtoto vile...
 Babu Njenje na wadau wa Njenje na zawadi yao
 Babu Njenje akifurahia bonge la Rolex, zawadi toka kwa bintiye Lulu 
 Babu Njenje akipokea zawadi ya laptop toka kwa bintiye Lulu
 Watoto na wake wadogo wakitoa zawadi ya jinyonyo kwa Babu Njenje
 Keki alishwa pia
 Babu Njenje na watoto na wake wadogo  na wajukuu
 Babu Njenje anywa madhiwa...
 Zawadi ya jinyonyo
 Keki kwa Mjomba
 Keki kwa kila mtu
 Keppy acha uroho
 Keki kwa ustaadh
 Keppy denda lamtoka
 Mtu mzima Waziri naye ala keki
 Keki kwa mke mdogo
 Nyota naye alishwa
 Keki spesho kwa Bi Lulu
 Bi Lulu amlisha keki babaye
 Bi Lulu akata keki
 Babu Njenje akata keki

 Nyota, Babu Njenje, Bi Lulu na Waziri wakata keki kwa pamoja





 Wadau wa Wana Njenje wafurahia
 Bi Lulu afurahi na baba
 Hepi besdei tu yuuuuuuuuuuuuuuuuu.....
 Mwana Fa na Nyota wawasha fashifashi
 Kumbuka Ditopile ndani
 Babu Njenje akwepa fashifashi
 MC Waziri kazini
 Dah! Mie huyo....??
Babu Njenje Ashukuru

1 comment:

Anonymous said...

jamani jamani jamani!! umma hiyo ilikuwa inaoshwa lakini...lo maana imezama kwenye midomo mini hapo