Monday, April 4, 2011

uzinduzi wa rangi na nembo mpya za vodacom



Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Dietlof Mare akipozi na wadau kwenye dina la mchana la kuadhimisha kubadilika kwa rangi na nembo ya kampuni hiyo ya simu za mkononi inayoongoza nchini hoteli ya Kilimanjaro Kempinski wikiendi hii
Mwamvita Makamba akipozi na Haki Ngowi
Wadau wa Vodacom Tanzania
Meza kuu toka shoto ni Mwamvita Makamba, MD wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare, Mkurugenzi Mkuu wa ITV na Radio One Joyce Mhaville na Mkurugenzi Mkuu wa Star TV Samwel Nyalla
Mdau Philip (pili shoto) akiongoza fowadi
kwenye mashambulizi ya dina la mchana

Dina la mchana linaendelea kushambuliwa
Wadau waandamizi wa Vodacom Tanzania
Wadau George Rwehumbiza na KK wakijipendelea
Ankal na Haki Ngowi wakiwakilisha wana libeneke
Bango jipya la Vodacom
Ujumbe na alama mpya
Sandton City huko Sauzi ikilipuka kwa rangi mpya ya Vodacom
Mabango Mapya Sauzi
Kila kona bango jipya Sauzi
Kazi ni kwako...
Hakuna mchezo Sauzi
Ankal akiwa uwanja wa Orlando Pirates
huko Soweto wakati wa uzinduzi huo

Mdau Manyerere Jakton akiwa Orlando Stadium, Soweto
Ankal akiwa na Manyerere na Dennis Msaky Sandton City
Bosi mkuu wa Vodacom Pieter Uys akipozi na (toka shoto) Bakari Machumu, Ankal, Dennis Msaky na Manyerere Jakton huko Sandton City siku ya Uzinduzi
Ankal, Bakari Machumu na Dennis Msaky
kwenye mnuso wa uzinduzi huo

No comments: