Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii
Tuesday, April 26, 2011
sherehe za miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kimataifa ya Hazina, wakionyesha umahiri wao wa kucheza Sarakasi wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 47 ya Muungano zilizofanyika kwenye Uwanja wa Amani Mjini Zanzibar keo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davies Mwamunyange
Sehemu ya viongozi waliohudhuria
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu mjini Zanzibar leo baada ya kumalizika kwa sherehe za maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano
Vijana wa halaiki kazini
Juu ni halaiki maalumu na chini ni baadhi ya
wananchi waliohudhuria sherehe hizo leo Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliohudhulia sherehe hizo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya waliohudhulia sherehe hizo kwenye Uwanja wa Amani mjini Zanzibar
No comments:
Post a Comment