Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii
Wednesday, April 13, 2011
Dream Team mpya ya CCM
Makamu wa Rais akimpongeza mjumbe wa kamati kuu ambaye pia ni Katibu wa Siasa na Mambo ya Nje wa CCM Mh. January Makamba. Shoto ni Nape Nnauye ambaye ni Katibu wa itikadi na Uenezi Mh. January Makamba akufuatilia kinachoendelea
Katibu Mkuu wa CCM wa zamani Mh. Yusuf Makamba akitoa kauli kabla ya yeye na sekretarieti na kamati kuu kuamua kukaa pembeni kupisha timu mpya
No comments:
Post a Comment