Tuesday, March 1, 2011

Rais Jakaya Kikwete aapisha Makatibu wakuu wapya leo

Bw. Albert Mrango akianguka saini baada ya JK kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo, Jamii, Jinsia na Watoto
JK akimwapisha Bw. Eric Shitindi kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya
Kazi na Ajira kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu mjini Dar es Salaam leo.
JK anamwaga wino katika nyaraka baada ya Bw. Fanuel Mbonde kula kiapo kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu kwenye sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

JK akipeana mikono na Bw John Michael Haule baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu waizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
JK akimkabidhi mikoba Bw. Hussein Othman Katanga baada ya kumuapisha kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
JK, Makamu wa Rais Dk Mohamed Ghalib Bilal, Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinga na Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Philemon Luhanjo wakipozi na Makatibu wakuu wapya baada ya kiapo
Mandhari ya ukumbi wa hafla wa Ikulu kabla ya zoezi kuanza
Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. Shamsi Vuai Nahodha
akiwapongeza Makatibu wakuu wapya
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
akisalimiana na Makatibu wakuu wapya
Katibu Mkuu Kiongozi Mh. Philemon Luhanjo akisabahiana na Waziri wa Viwanga na Biashara Dkt. Cyril Chami katika hafla hiyo
JK akipozi na familia ya Bw. Eric Shitindi
JK na familia ya Bw. Fanuel Mbonde
JK na familia ya Bw. Hussein Othman Katanga
JK na familia ya Bw. Albert Mrango
JK akichati na vijana wa Bw. Katanga
JK akipozi na vijana wa familia ya Bw. Katanga
Ukumbi wa hafla Ikulu wa kabla ya zoezi la
kuapishwa makatibu wakuu kuanza leo

Hongera mkuu, anapongezwa Bw. Katanga
Mh. Membe akiongea na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji John Tendwa (kulia) na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Sethi Kamuhanda

No comments: