Saturday, February 26, 2011

TMH YAFANIKISHA STYLE MOTO MOTO YA MITINDO USIKU HUU

Mbunimu wa Mitindo,Khadija Mwanamboka (kulia) akimkabidhi zawadi ya ua Mwanamitindo,Jamila Swai ambaye ni mmoja kati ya waliofanikisha shughuli hiyo usiku huu katika hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jijini Dar.
MC Taji Liundi akiwajibika.



Mwanamitindo Jamila Swai akipita jukwaani.wadau.
Ankal akiwa amejiachia na wadau waliohudhuria hafla hiyo pamoja na wanamitindo.
Wadau wa Vodacom pia walikuwepo.Biashara ikiendelea mara baada ya show kumalizika.

Wageni waalikwa toka sehemu mbali mbali walijitokeza kuona Style Motomoto Fashion Show usiku huu ndani ya hoteli ya Double Tree Hilton,Masaki jiji Dar.

No comments: