Saturday, February 12, 2011

Kili Music Awards Academy II

Haya haya mjomba....anza...Gerald Hando anamwambia Mpoki ambaye amebainika ana wimbo katika shindano la Kili Awards mwaka jana
Mpoki akikusanya kilicho chake
Gerald akimtakia Mpoki kila la heri



Wadhamini na waratibu wakisikiliza kwa makini
Mzee Luhala wa BASATA akitoa mwongozo
Ankal na Hartman wapo. Hata Bibo naye yupo...
Mkalla Fundikira yupo bize na libeneke
huku Ali Baucha akimpa kampani

Mzee Felician Mutta yuko pia
Wadau kibao
Mboni hakosagi na Dina Marios
Ras Inno


















No comments: