Tuesday, February 8, 2011

BREKING NYUUUUZZZZ: WABUNGE WA CHADEMA WASUSIA KUPIGA KURA KUAMUA HOJA YA KUWA NA KAMBI NDOGO YA UPINZANI

WABUNGE WA CHADEMA WAKIONGOZWA NA MWENYEKITI WAO MH. FREEMAN MBOWE WAMESUSIA BUNGE DAKIKA CHACHE ZILIZOPITA KUGOMEA UPIGWAJI WA KURA WA KUWA AMA KUTOKUWA NA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI.
HII IMEKUJA BAADA YA HOJA BINAFSI YA KIONGOZI WA ZAMANI WA UPINZANI MH. HAMAD RASHID WA CUF KUTAKA CHAMA CHAKE NA VINGINE VYENYE UWAKILISHI BUNGENI KUUNDA KAMBI NDOGO YA UPINZANI NA KUTAMBULIKA RASMI.
MH. FREEMMAN, BAADA YA MJADALA MKALI SANA, ALIINUKA NA KUPINGA KABISA JAMBO HILO NA KUAMUA KUTOKA NJE KWA HESHIMA ZOTE, KABLA YA WAH. WENGINE WA CHADEMA KUMFUATA.
HABARI KAMILI BAADAYE

No comments: