Saturday, January 22, 2011

AROBAINI YA MAREHEMU SAIDI BAAMARY ILIYOFANYIKA LEO UKUMBI WA EL HILALI, DAR

Ni wakati wa kisomo katika Arobaini ya Marehemu
Saidi Baamary leo katika ukumbi wa El Hilal jijini Dar
Kisomo kinaendelea
Ndugu, jamaa na marafiki walihudhuria kwa wingi
Mandhari ya El Hilal wakati wa Arobaini ya marehemu Saidi Baamary



Shekhe akitoa hutba wakati wa shughuli
Vijana kwa wazee walikusanyika
Ndugu, jamaa na marafiki
Vijana wa Kariakoo na kwengineko walifurika
Wakisikiliza hutba
Wengi walijiyokeza
Ndugu, jamaa na marafiki wakitabaruku
Hutba inaendelea
Watoto na baba zao walikuwepo
SMdogo wa marehemu, Hadi Baamary akiandaa mpunga
Shemeji wa marehemu, Rahim Lumelezi,
akipeleka mpunga ukumbini

Ni wakati wa kupiga mpunga
Ankal, Mwinyi Mangara na Rahim Lumelezi
wakipiga mpunga wa waandazi

Fundi Mussa wa Empress naye alikuwepo
Wadau wa karibu wa marehemu

Ankal akiwa na Da'Diana Lumelezi na binti zake
Da'Diana Lumelezi na bintize na shangazi
Wadogo wa Da'Diana wakipata chakula
Da'Diana akiongea na ndugu waliohudhuria kwenye arobaini ya marehemu mzazi mwenzie
Da'Diana Lumelezi akiongea na wazee wakati wa shughuli hii

No comments: