Baadhi ya watoto wa Shule ya awali ya Yohane Merlin wakiwa wamefika katika ziara yao ya kujifunza na kufanya kwa vitendo kuogelea na mambo mengine ikiwa ni pamoja na Kucheza Michezo mbalimbali
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiwa wanacheza na kufurahi katika maji
Baadhi ya watoto wakiwa wamepumzika kwa muda baada ya kucheza katika maji
Mwenyekiti wa Shule ya awali ya Yohane Merlin iliyopo Mbezi Beach David Manoti (wa nne kutoka kushoto) akiwa na baadhi ya wazazi na Mmoja wa walimu wakati wa ziara hiyo ya mafunzo
Watoto wa Shule ya awali ya Yohane Merlin wakiogelea kila mmoja kwa aina yake walipokuwa katika ziara ya kujifunza na kufanya michezo mbalimbali
Mwenyekiti Shule ya Awali ya Yohane Merlin David Manoti akicheza na watoto
watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakipata maelekezo kutoka kwa mwenyekiti wa shule hiyo David Manoti
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiendelea na michezo mbalimbali
Watoto wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakipata chakula baada ya kumaliza Ziara yao ya Masomo
Kutoka kushoto ni Mwalimu Mkuu wa Shule ya awali ya Yohane Merlin Sr. Jenesia Thomas Baraka,Mwenyekiti wa Kamati ya Shule David Manoti, Makamu Mwenyekiti Michael Biseko na Mjumbe wa kamati Bi. Mwile Kauzeni.
Baadhi ya Walimu, Wazazi pamoja na wanakamati wa Shule ya Awali ya Yohane Merlin wakiwa katika picha ya pamoja
Baadhi ya wazazi na walimu wakiwa katika Michezo ya watu wazima wakiungana na wanafunzi hao wa shule ya awali ya Yohane Merlin
Hili ni Daraja la Nyerere lililopo Kigamboni ambapo watoto wa shule ya awali ya Yohane Merline(hawapo pichani) walipata kuliona wakati wa ziara yao ya kujifunza na michezo. Picha na Fredy Njeje
No comments:
Post a Comment