Sunday, February 14, 2016

SIMU TV: HABARI KUTOKA TELEVISHENI



Mgogoro wa kisiasa visiwani Zanzibar waendelea kuchukua sura mpya kila uchwao baada ya vyama 9 kutangaza kususia uchaguzi huo.https://youtu.be/2W5SCY7Wqfo   

Chama cha ACT Wazalendo chajitokeza na kupinga marudio ya uchaguzi visiwani Zanzibar huku kikibainisha kutoshiriki uchaguzi huo.https://youtu.be/RfF7lg7uo2Y  

Kukithiri kwa shughuli za kibinadamu katika mikoa ya Rukwa na Katavi kwadaiwa kuathiri kina cha ziwa Tanganyika hivyo kutishia kutoweka kwa ziwa Rukwa. https://youtu.be/qtZYpwe_IbY  

Shirikisho la vyuo vikuu nchini Dar es salaam lamuunga mkono Rais Magufuli huku likimtaka aendelee kuchukua hatua kali zaidi dhidi ya mafisadi na watumishi wabadhirifu. https://youtu.be/mhvyjXad-GY  

Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi UVCCM, wasema utashiriki kikamilifu marudio ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar mwezi ujao.https://youtu.be/o-_ux_XfLwI  

Serikali yawataka watumishi wa ardhi kuhakikisha wanatenda haki wakati wa usimamizi wa ardhi ili kuepusha migogoro inayotokea mara kwa mara.https://youtu.be/P0PMv9pFyxA  

Serikali yaingia mkataba na shirika la mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF kuwakopesha pikipiki madereva wa bodaboda mkoani Morogoro ikiwa ni utekelezaji wa ahadi ya Rais Magufuli. https://youtu.be/9OCs5_V91y8   

Serikali huenda ikaifunga hospitali ya Kibena iliyopo mkoani NJombe kutokana na kutoa huduma zilizo chini ya kiwango; https://youtu.be/LLmK7r1Lo_0  

Waziri wa ujenzi uchukuzi na mawasiliano Prof Makame Mbarawa awataka watumishi wa shirika la Posta Tanzania kufanya kazi kwa weledi;https://youtu.be/5q1Iv_Vzxhw  

Wafanyakazi kutoka katika baadhi ya viwanda mkoani Arusha waiomba serikali kuingilia kati mishahara ya wanaolipwa wafanyakazi wa viwandani;https://youtu.be/hXDGjBVhyH0  

Chama cha ACT-Wazalendo chaunga juhudi za  Rais John Magufuli za kupambana na watumishi wa umma wanaojihusisha na rushwa;https://youtu.be/HWeL3E_fboE  

Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi UVCCM watoa wito kwa mawaziri kutekeleza  kwa kasi maagizo ya Rais John Magufuli; https://youtu.be/jp-GlShg7xc  

Serikali mkoani Morogoro kumchukulia hatua kali Afisa mtendaji kwa kushindwa kuthibiti mlipuko mpya wa kipindupindu mkoani humo;https://youtu.be/2W_8KvjTcYg  

Serikali mkoani Mbeya yawataka wananchi kuzingatia sheria na maelekezo ya matumizi ya maji; https://youtu.be/5G6E94Aaz_M  

Kijana mmoja mkoani Ruvuma auawa kikatili kwa kupigwa na kitu kizito kichwani na watu wasiojulikana; https://youtu.be/q9JOleiIh6I  

Mtu mmoja anaedhaniwa kuwa ni jambazi afariki dunia akiwa anakimbizwa hospitalini mara baada ya kujeruhiwa kwa risasi wakati wa majibizano na askari polisi; https://youtu.be/kR03yLyYFZQ  

Timu ya Coastal Union yaitandika  Azam Fc goli 1-0 katika mchezo wa ligi kuu soka Tanzania bara uliochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga;https://youtu.be/rAtnDJqcXqM  

Timu ya Arsenal yaitandika timu ya  Leiceter City kwa   jumla ya goli 2 kwa 1 katika mchezo wa ligi kuu ya nchini Uingereza; https://youtu.be/rBZR7uF7np4

No comments: