Monday, January 25, 2016

HARUSI YA MTOTO WA MTEMVU, AMINA MTEMVU YAFANA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

Bwana Harusi Masoud Masoud akimwekea mkewake Amina Mtemvu mkono kichwani wakati wa harusi yao iliyofanyika  Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Holl.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Bwana Harusi Masoud Masoud
Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika tabasamu baada ya hafla ya harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam  
Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiagana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Temeke wakati wa hafla ya ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam.

Bwana Harusi Masoud Masoud akimfunua mkewake Amina Mtemvu wakati wa haflaya yao iliyofanyika Dar es Salaam katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam  
Mama wa Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika pozi na watoto wake







Picha ya pamoja ya wazazi na watoto wao (kulia) ni mama wa bwana harusi na kushoto ni mama wa biharusi



Mwimbaji wa bendi ya Gusagusa, Ally Hassan  akighani wakati kundi hilo lilipokuwa likitoa burudani katika sherehe ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika ukumbi wa Diamond  Jubilee Dar es Salaam



No comments: