Thursday, October 8, 2015

BENKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WAWASHUKURU WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI JIJINI DAR LEO.

 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo katika ofisi za Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito,kwa kumshukuru kuwa mteja benki hiyo katika tawi la Water Front kwa kuadhimisha wiki ya huduma kwa mteja inayoendelea kufanyika katika tawi hilo jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito akionesha tunzo aliyo pewa na Benki ya CRDB tawi la Water Front leo jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima  akimkabidhi Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito barua ya kushukuru wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja inayoendelea kufanyika katika tawi hilo.
 Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya Reli, Benhdard Tito akionyesha picha ya ramani ambapo reli itajengwa mara baada ya Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima na  Meneja wa Meneja wa biashara wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Adam  Akaro  walipotembelea ofisi hapo leo jijini Dar es Salaam. 
 Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akimkabidhi tunzo, Mkurugenzi Mkuu wa Fedha wa kampuni ya NAS, Prakash Shenoy kumshukuru mteja huyo wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika katika ofisi za NAS jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa Benki ya CRDB  tawi la Water Front, Donath Shirima akizungumza na mteja wa benki hiyo leo jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Meneja wa Meneja wa biashara wa benki ya CRDB tawi la Water Front, Adam  Akaro.
 Wafanyakazi wa benki ya CRDB wakichukua matukio mbalimbali wakati igizo waliloandaa wafanyakazi hao likiendelea ikiwa wameigiza jinsi ya kumhudumia mteja kwa uhasira na kutumia lugha ambazo hazi pendezi kwa mteja ikiwa kwa upande wao ni kujikumusha ni jinsi gani wawahudumie wateja wao ikiwa wiki hili ni wiki ya huduma kwa mteja.
 Dirishani ni mfanyakazi wa benki hiyo tawi la Water front akiigiza kuhudumiwa kama mteja ikiwa matokeo yake hayakuwa mazuri kutokana na lugha aliyopewa na mhudumu na kukosa raha kwa kutokuhudumia vizuri(Igizo), ikiwa wafanyakazi hao wakijikumbusha jinsi ya kuhudumia kwa ukarimu wateja wao.

 Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wa tawi la Water Front akiwa katika picha ya pamoja.

No comments: