Mke wa
marehemu Eng. QI XIN wa pili kutoka kulia akitoa heshima zake za mwisho katika
mazishi ya mume wake ambaye alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina
katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uwanja wa Uhuru akiuaga mwili wa mpendwa
wake katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Katibu
Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bi. Sihaba Nkinga wa kwanza
kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa marehemu Eng. QI XIN ambaye
alikuwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango wa Ushirikiano
katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika mazishi yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Bw.Leornad Thadeo akitoa heshima zake za
mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa
Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake
yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Baadhi
ya jamaa wa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa
Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakitoa heshima za
mwisho wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mke wa
marehemu Eng. QI XIN akitoa heshima zake za mwisho wakati wa mazishi ya mume
wake ambaye alikuwa ni Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa kichina katika mpango
wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa, mazishoi hayo yalifanyika
jijin Dar es Salaam leo (jana). Wa kwanza kutoka kushoto ni mtoto wa marehemu
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wa kwanza kushoto akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa
Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa
Uwanja wa Taifa Eng. QI XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali watu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Bw. Barnabas Ndunguru wa pili kutoka kushoto
akitoa heshima zake za mwisho kwa Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa
Kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa Eng. QI
XIN wakati wa mazishi yake yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
Mwakilishi kutoka Ubalozi wa China nchini Lin
Chiyong akimpa pole mfiwa ambaye ni mke wa marahemu Eng. QI XIN ambaye alikuwa
Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam wa Kichina katika mpango wa ushirikiano katika
ujenzi wa Uwanja wa Taifa na Uhuru.
:
Baadhi ya waombolezaji wakiwa katika mazishi ya Kiongozi wa Kikosi cha Wataalam
wa kichina katika mpango wa Ushirikiano katika ujenzi wa Uwanja wa Taifa katika
mazishi yaliyofanyika jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment