![]() |
Wana CCM na wananchi wa Musoma, wakipiga kelele kumwita Mh. Lowassa, ili awasogelee kumsalimia huku wakiwa nje ya geti la uwanja wa ndege wa Musoma |
![]() |
Mh. Lowassa, akiwasili ofisi za CCM wilaya ya Bunda |
![]() |
Mh. Lowassa, (kushoto), akiwashukuru wana CCM na wananchi waliojitokeza kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, wengine kwa nia ya kumdhamini na wengine kumuona |
![]() |
Umati wa watu uliofurika kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, huku wengine wakiwa juu ya mti walau wapate kumuona |
![]() |
Mh. Lowassa a,kiwasili ofisi za CCM wilaya ya Musoma |
![]() |
Mh. Lowassa akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime mkoani Mara |
![]() |
Mh. Lowassa mkiwapungia wana CCM na wananchi wengine alipowasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime |
![]() |
Msanii huyu yeye aliamua kuja na ritungu huko Rorya wakati Mh. Lowassa a.lipowasili ofisi za CCM wilaya ya Rorya |
No comments:
Post a Comment