Monday, May 25, 2015

JAJI AUGUSTINO RAMADHANI AHIMIZA AFRIKA KUHESHIMU HAKI ZA BINADAMU,AZITAKA NCHI ZAIDI KUTOA TAMKO LA KUITAMBUA MAHAKAMA HIYO

Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino Ramadhani(katikati)akizungumza katika hafla ya chakula cha jioni kilichondaliwa na taasisi ya Pan African Lawyers Union(PALU)kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa PALU,Donald Deya na kulia ni Mkuu wa mawasiliano wa AfCPHR,Sukhdev Chatbar.
Waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika Mashariki wakisikiliza hotuba fupi ya Jaji Augustino Ramadhani.
Baadhi ya maafisa wa AfCPHR,PALU na waandishi wa habari wakifatilia hafla hiyo. 4.Mwandishi wa habari wa siku nyingi ambaye alikua mwezeshaji Mkuu katika mafunzo ya waandishi wa habari ,Jenerali Ulimwengu(kushoto)akiwa amejumuika na waandishi wa habari.
Waandishi wa habari wakifurahia moja ya picha ya tukio la hafla ya chakula cha jioni kwenye ofisi za PALU.
Waandishi wa habari wakifurahia moja ya picha ya tukio la hafla ya chakula cha jioni kwenye ofisi za PALU.
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino Ramadhani(Kulia)akimkabidhi cheti cha kushiriki mafunzo ya namna Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu inavyofanya kazi zake mwandishi wa habari wa IPP,Asraji Mvungi.
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu(AfCPHR)yenye makao yake jijini Arusha,Jaji Mstaafu wa Tanzania,Augustino Ramadhani(Kulia)akimkabidhi cheti cha kushiriki mafunzo ya namna Mahakama ya Afrika na Haki za Binadamu inavyofanya kazi zake mwandishi wa habari wa gazeti la New Vision nchini Uganda,Mosses Warugembe. Habari Picha na www.rweyemamuinfo.blogspot.com

No comments: