Saturday, March 28, 2015

SEND OFF YA BI. ASNA ALLY MUAZINI YAFANA SANA

 Taswila ya Ukumbi
 Bi Harusi Asna Muazini akiwa katika pozi
  Bi Harusi  mtarajiwa Asna Muazini akiwa katika pozi na tabasam katika Hafla yakuagwa kwake (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko jijini Dar es Salaam
   Bi Harusi  mtarajiwa Asna Muazini akiwa na wapembe wake  katika pozi wakati wa  Hafla yakuagwa (SEND OFF) iliyofanyika hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko  Dar es Salaam, kushoto ni Wardat Saidi Juma anaye somea Uwandishi wa Habari huko Zanzibar maeneo ya Vuga na kulia ni Mwanafunzi wa Shule ya Lumumba Zanzibar Mwanahija Suleimani Yusufu.
 Bi Harusi  mtarajiwa Asna Muazini akiwa na mpambe wake ambaye babo Mwanafunzi wa Shule ya Lumumba Zanzibar Mwanahija Suleiman Yussufu.
  Bi Harusi  mtarajiwa Asna Muazini akiwa na Mwanachuo Wardat Saidi Juma anaye somea Uwandishi wa Habari huko Zanzibar maeneo ya Vuga  (kushoto).
 Bi Harusi  mtarajiwa Asna, akiwa na wapambe wake wakipeleka Keki kwa wazazi wake
  Bi Harusi  mtarajiwa Asna, akijianda kuwakadidhi Keki wazazi wake
  Bi Harusi  mtarajiwa Asna, akimkabidhi Keki mama mzazi Shemsa Mbwambo (wa tatu kushoto) na tukianzia wakwanza kulia ni Shangazi wa Biharusi Mtarajiwa Asna, Salama Twaha amaye ni mjasiliamali na anaye fata ni Baba Mdogo  wa Bi Harusi Mtarajiwa Asna, Muharami Juma  mjasiliamali 
  Bi Harusi  mtarajiwa Asna (kulia), akiwakabidhi wazazi  wa Bwana Harusi (wakwanza kushoto) Sifa Mabenda anaye fatia ni Wakili wa Kujitegemea  Saidi Azizi.   
   Bi Harusi  mtarajiwa Asna, akimkabidhi Keki  Katibu wa Kamati ya Hafla yake Nesaa Mwome , akiwa na baadhi ya wanakamati hiyo iliyoandaa Hafla hiyo yake.
 
 Mshehereshaji MC akiibariki Keki hiyo
  Bi Harusi  mtarajiwa Asna, akiwa katika Picha ya Pamoja na wanakamati waliyo fanikisha Hafla hiyo
 Mama wa Bwana Harusi Mtarajiwa Sifa Mabenda aliyevaa kiremba rangi ya Zambarau akiwa na ndugu na jamaa wakicheza katika Hafla hiyo iliyofanyi hivi punde katika ukumbi wa DDC Keko Dar es Salaam
 Wana familia wakicheza mduara
 Baadhi ya Wanafamilia wakicheza
Nisehemu ya ndugu na jamaa wakiwa katika Hafla ya kumuaga Mtoto wao Bi Harusi  mtarajiwa Asna, watatu kushoto ni Mama mzazi wa Biharusi Mtarajiwa
Baadhi ya Wanafamilia wakichezawakiongozwa na katibu wa Hafla hiyo  Nesaa Mwome iliyomalizika hivi punde.(PICHA NA KHMISI MUSSA) Mmiliki wa ujijirahaa Blog.

No comments: