Thursday, February 26, 2015

MHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa akitia saini hati ya kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Katiba ya Tanzania kama muongozo katika kazi yake baada ya kumuapisha Februari 25, 2015.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe Shabaan Kondo Kissu Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Shabaan Kondo Kissu akitia saini hati ya kiapo cha kuwa Mkuu wa Wilaya mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe. Shabaan Kondo Kissu Katiba ya Tanzania kama muongozo katika kazi yake baada ya kumuapisha Februari 25, 2015.

No comments: