Saturday, May 31, 2014

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI 6.7 BILIONI KUJENGA HOSPITALI YA RUFAA SINGIDA

DSC_0473
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abdulrahamani Kinana akiongozwa na Mkuu wa Moa wa Singida Dk, Parseko Kone, Katibu Tawala Lianna Hassan na viongozi wengine wa Mkoa wa Singida kukagua hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, wakati Kinana alipokuwa Mkoani Singida kwa ziara ya kikazi ya siku saba.
Na Nathaniel Limu, Singida
MKUU wa Mkoa wa Singida,Dk.Parseko Vicent Kone amesema serikali imetoa zaidi ya shilingi 6.7 bilioni kwa ajili ya kugharamia ujenzi wa hospitali ya rufaa ya mkoani hapa iliyoko kijiji cha Madewa nje kidogo ya Singida mjini.
Dk.Kone amesema hospitali hiyo itakapokamilika,itahudumia wagonjwa kutoka mikoa yote ya kanda ya kati.
Mkuu huyo alitoa rai hiyo wakati akitoa akitoa taarifa yake kwa katibu mkuu CCM taifa,Abrahamani Kinana aliyetembelea hospitali hiyo hivi karibuni.
Amesema mkoa umetegewa eneo la ekari 283 kwa ajili ya uendelezaji wa mradi wa hospitali hiyo, ambayo itakuwa ya mfano hapa nchini.
Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Dorothy Gwajima amesema lengo la mradi huo ni kuimarisha huduma za afya mkoani pamoja na mikoa jirani.
DSC_0429
Katibu Mkuu wa CCM akiweka saini kwenye kitabu cha hospitali ya Rufaa huku Naibu Katibu Mkuu wake Mwigulu Nchemba na mkuu wa Mkoa wa Singida Kone wakishuhudia.
Dk.Gwajima amesema mradi huo utakapomalizika,utakuwa na majengo 29 yatakayotumika kutoa huduma mbali mbali.
Mganga huyo mkuu,amesema changamoto inayowakabili ni pamoja na uhaba wa watumishi,nyumba za kuishi watumishi na ufinyu mdogo wa bajeti ya dawa kutoka bohari kuu ya madawa (MSD).
Kwa upande wake Kinana,alitumia fursa hiyo kumpongeza Dk.Kone kwa utendaji kazi wake ambao umesaidia kujengwa kwa hospitali hiyo.
DSC_0446
Mganga mkuu wa hospitali ya Mkoa wa Singida (RMO) Bi. Doroth Bwajima akisoma taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo.
Amesema baada ya mradi huo kukamilika mkoa wa Singida utaondokana na matatizo ya huduma za afya.
"Ili kumuunga mkono Dk.Kone kwa hili jambo nzuri la ujenzi wa hospitali ya rufaa ambayo itasaidia Watanzania wengi kupata huduma ya afya kwa kiwango kizuri,nitahakikisha nina muunganisha na baadhi ya marafiki zangu wa ndani na nje ya nchi ili waweze kusaidia kumalizika kwa ujenzi wa hospaitali hii inayovutia",amesema Kinana.
DSC_0453
Mganga mfwawidhi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida, Dkt Joseph Malunda, akiwaonesha michoro ya hospitali hiyo viongozi walioambatana na Kinana.
DSC_0463
Viongozi mbalimbali wa mkoa huo wakimsikiliza Dkt Malunda.
DSC_0481
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Pendael Maasai akisisitiza jambo kwa Kinana.
DSC_0499
Muuguzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida Pendael Maasai akimwonyesha Katibu Mkuu kinana vifaa mbalimbali vilivyopo kwenye hospitali hiyo ya rufaa.
DSC_0506
Mbunge MO akiangalia mojawapo ya vifaa vya hospitali ya rufaa ya singida.
DSC_0496
Mbunge wa Jimbo la Singida Mjini Mohammed Dewji akisalimiana na Daktari bingwa wa magonjwa ya kina mama wa mkoa wa Singida Dkt, Seleman Mutani wakati wa ukaguzi wa hospitali hiyo.
DSC_0522
Katibu Mkuu wa CCM Taifa akiongozana na mkuu wa Mkoa Kone, Mbunge wa jimbo la Singida Mjini Mh. Mohammed Dewji, wasaidizi wa Mbunge Duda Mugheny na David Mkufya wakimwongoza Kinana kutoka nje mara baada ya kukagua hospitali ya Rufaa ya Mkoa huo.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog).

DKT. BILAL AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI NA MFUKO WA ELIMU WA HALMASHAURI YA MJI WA KIBAHA

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.

  Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la msingi baada ya kupanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi wa kambi ya JKT Ruvu baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF)baada ya kupanda miti.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya maafisa wa Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Ruvu, wakati akiondoka eneo hilo baada ya kupanda miti kama ishara ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, leo
 Vijana wa JKT wakitoa burudani ya ngoma ya "Msewe" toka Zanzibar
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja le
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na vijana wa Scout wa mji wa Kibaha, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Mailimoja Kobaha, kwa ajili kuzindua Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisimama na viongozi waliokuwa meza kuu kwa ajili ya kupokea maandamano ya wanafunzi wakati wakiingia kwenye uwanja huo leo wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mailimoja Kibaha.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali za msingi na Sekondari za mkoa wa Pwani, wakipita mbele ya jukwaa kuu na Mabango yenye ujumbe mbalimbali kuhusu suala zima la elimu, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha Mkoa wa Pwani, iliyofanyika kwenye Uwanja wa Kibaha Mailimoja leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, Mbunge wa Jimbo la Kibaha, Silvester Koka, kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elimu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, mwakilishi wa Kampuni ya Lemita Ltd, Mgeta Mganga,  kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elim, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi cheti cha shukrani, mwakilishi wa NSSF, Ummy Lweno,  kwa kutambua mchango wake katika kuchangia Mfuko wa Elimu, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, iliyofanyika leo 
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.
Baadhi ya wananchi na wanafunzi wa mji wa Kibaha wakichangia kwa hiyari mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha, wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Elimu wa Halmashauri ya Mji wa Kibaha mkoa wa Pwani, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mailimoja Kibaha. Picha na OMR

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI KWA KUPANDA MITI KATIKA KAMBI YA KIKOSI CHA JESHI LA KUJENGA TAIFA RUVU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohameed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, wakati alipofika kwenye Kambi ya JKT Ruvu kwa ajili ya kupanda miti ikiwa ni sehemu ya uzinduzi huo, ambapo jumla ya miti 8,000, imeandaliwa kupandwa katika eneo hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, akipanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Jiwe la msingi baada ya kupanda mti katika eneo la Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, JKT Ruvu, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Wiki ya mazingira Duniani. jumla ya miti 8,000 inatarajia kupandwa katika eneo hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi wa kambi ya JKT Ruvu baada ya kupanda miti.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi walio katika mpango maalum wa kampeni ya upandaji miti hiyo, baada ya kupanda miti.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Hifadhi ya Milima ya Tao la Mashariki (EAMCEF)baada ya kupanda miti.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya maafisa wa Kambi ya Jeshi la Kujenga Taifa JKT Ruvu, wakati akiondoka eneo hilo baada ya kupanda miti kama ishara ya uzinduzi wa Wiki ya Mazingira Duniani, leo Mei 31, 2014. Picha na OMR

TANAPA YAWATUNUKU VYETI WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI WAANDAMIZI WALIOSHIRIKI KONGAMANO JIJINI MWANZA

Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Raia Mwema na RAIA Tanzania kanda ya kaskazini Paul Sarwat ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa Gazeti la The East African Adam Ihucha ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Gazeti la Nipashe Beatrice Bandawe,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa habari  Gazeti la Jamhuri Christopher Gamaina ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa Gazeti la Raia Tanzania ,Claud Gwandu  ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari ,Gazeti la Tanania Daima,Edson Kamukara ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari,Gazeti la The Guardian Rodgers Luhogo ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari wa Gazeti la The Guardian Lydia Shirigenda ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.

Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari TBC 1 Angela Mang'enya ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa TBC 1,Benny Mwaipaja ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari wa gazeti la The African Max Ngaremere ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa habari wa Gazeti la Business Times Mnaku Mbani,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari wa Gazeti la Mtanzania ,Maregesi Paul ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa habari wa Gazeti la Rai Masyaga Matinyi ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV ,Vedasto Msungu ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari wa Star Tv Zawadi Bashemela ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.

Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi wa  Hbari mwandamizi wa Gazeti la Mwananchi ,Anthony Mayunga ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari wa gazei la Changamoto Samson Kamalamo ,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mhariri wa Habari wa  Gazeti la Mwananchi Reginald Miluko,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.
Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi za Taifa,Tanzania(TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi Cheti ,Mwandishi mwanadamizi wa Gazeti la Mwananchi Musa Juma,Cheti hicho ni cha ushiriki wa kongamano la Wahariri wa habari toka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakiwemo waandishi wa habari waandamizi  lililofanyika jijini Mwanza na kuandaliwa na TANAPA.

Na Dixon Busagaga wa Globu 
ya Jamii aliyeko jijini Mwanza.