Matukio haya na yale sambamba na habari/picha za ziada za Globu ya Jamii
Tuesday, December 23, 2014
RwandAir yakutana na wadau wake katika chakula cha jioni jijini Dar
Wafanyakazi
wa Rwandair wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao, kushoto ni
Lucy Ismail RwandAir country manager, Gladys Buhama na Hamida Hamza
Reservation staff na kulia ni Eugene Mugisha Airport Station Manager
RwandAir
Tanzania Country Manager, Lucy Ismail akifungua sherehe kwa kukaribisha
wageni waalikwa na kutambulisha baadhi ya staff,kulia ni Roshni,Lucy,
Mayyada,Gladys na mwisho kushoto ni Naina.
Wadau
wakipokea zawadi zao mwisho wa sherehe, kutoka kulia ni Anita kutokea
kampuni ya Alphazulu na Abdallah kutoka Auckland Tours
Baadhi ya wadau kutoka Kampuni mbalimbali wakiwemo katika sherehe ya Rwandair iliyofanyika ijumaa 19th Dec, Serena hotel
Wafanyakazi wa Rwandair na wageni waalikwa wakipata chakula cha usiku
Winglink nao hawakuwa mbali walikuwa 1st Runner up ambao waliwakilishwa na Jignesh na Mariana
Rickshaw nao waliwakilishwa na Naina na Tausi
Bonvoyage wakipokea cheti cha hukurani kutoka Rwandair
Alphazulu nao walikuwa miongoni mwa waliopokea cheti cha shukurani wakiwakilishwa na Anitha
JMD travels ndio walio ibuka washindi wa kwanza ambao waliwakilishwa na Saurin
No comments:
Post a Comment