Saturday, November 1, 2014

WAZIRI MKUU MGENI RASMI KATIKA HAFLA KUCHANGIA MADAWATI ILIOANDALIWA NA HASSAN MAAJAR TRUST

Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua madwati 6000 kwa ajili ya wanafunzi iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba yake katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kuununua madawati 6000kwa ajili ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaratibu ,Stephen Wassira akitatangaza kiasi cha sh. milioni 17 kilichochangwa na wanabunda ajili ya kuchangia madawati 6000ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwetewa pili kutoka (kulia) akiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam. Kulia wa kwanza ni Balozi Mwanaidi Maajar na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wan ne kutoka (kulia)akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Christopher Majaliwa(kushoto) akifurahia jambo kwenye hafla hiyo na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala ,Jerry Silaa.
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama akitangaza wizara yake na taasisi zake ilivyochangia Sh.milioni 100.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimia na baadhi ya wageni waalikwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa akizungumza jambo na Jaji Mstaafu Joseph Warioba hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa madawati nchini.
Baadhi ya wadau waliohudhulia kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
Msanii Mwasiti Almasi akituimbuiza na wasanii wenzake kutoka THI kwenye hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua mawadati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.

No comments: